Msaada kwa TTY na RTT kwenye iPhone iOS 11
Ikiwa una matatizo ya kusikia au kuzungumza, unaweza kuwasiliana kwa simu kwa kutumia Teletype (TTY) au ujumbe mfupi wa maandishi (RTT)—itifaki zinazosambaza ujumbe unapoandika na kumruhusu mpokeaji…